Viongozi wa wapenda demokrasia na wanajeshi watiliana saini Sudan
Vuguvuru la Kundi la wapenda demokrasia Sudan na baraza la kijeshi linalotawala wametiliana saini makubaliano mapema leo yanayoeleza mpango wa ushirikiano wa madaraka lakini pande zote mbili bado zinafanyia kazi makubalianho muhimu ya kikatiba ambayo yatafanunua kuhusu ushirikiano wa madaraka.
Facebook Forum