Lugha ya sheng ambayo inatumiwa sana na vijana nchini kenya inaendelea kupata umaarufu hasa kwa vijana wanaoishi katika mitaa duni. Jijini Nairobi kituo cha Redio cha ghetto ilianzisha taarifa ya habari inayosomwa kwa lugha hiiili kuwavutia vijana kupata habari
Facebook Forum