Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 00:27

Fainali za kandanda Afrika zashangaza wengi - Kalusha Bwalya


Fainali za kandanda Afrika zashangaza wengi - Kalusha Bwalya
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:15 0:00

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Zambia amesema mashindano ya mwaka huu ya kombe la Afrika yamewashangaza wengi kwa timu ngeni katika mashindano hayo kufanya vyema, na baadhi ya timu kongwe kuondolewa mapema katika mashindano hayo.

XS
SM
MD
LG