Balozi wa uingereza nchini marekani Kim Darroch amejiuzulu kufuatia matamshi yake yaliyoleta mvutano wa kidiplomasia baina ya rais Donald Trump na balozi huyo. Na rais Paul Kagame wa Rwanda amesema baadhi ya mipango haifanikiwi kutokana na kutokuwa na mueleko kwa viongozi
Facebook Forum