Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 14:06

Duniani leo July 9, 2019


Duniani leo July 9, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:57 0:00

Umoja wa mataifa umesema mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu , Yemen unazidi kuwa mbaya huku kukiwa na upungufu wa fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa huo. Na Rais wa Marekani Donald Trump amesema hatoshirikiana tena na balozi wa Uingereza mjini Washington baada ya kutofautiana muelekeo.

XS
SM
MD
LG