Rais Donald Trump asema sera zake za mambo ya nje zina mafanikio makubwa alibainisha hayo mara baada yakurejea kutoka kwenye mkutano wa mataifa yenye nguvu ya kiuchumi duniani G20. Watu takriban 11 kuuwawa nchini Sudan kufuatia maandamano mapya yanayodai kupatikana utawala wa kiraia.
Facebook Forum