Duniani Leo July 1, 2019
Rais Donald Trump nyumbani baada ya ziara ya siku tano. Trump alikohudhuria mkutano wa mataifa yaliyostawi Zaidi kiviwanda, G20. Pia alitembelea Korea Kaskazini na Korea Kusini. Watu watano wameuwawa na wengine wamejeruhiwa katika maandamanao yanayoendelea kupinga utawala wa kijeshi nchini Sudani
Facebook Forum