Duniani Leo June, 28 2019
Aliyekuwa makamu wa rais wa Marekani Joe Biden alikuwa miongoni mwa wagombea 10 wa urais wa chama cha democratic walioshiriki siku ya pili ya kuwania kuwa mgombea wa Demokratik .Maafisa wa serikali ya Marekani wanamalizia mipango ya Rais Donald Trump kutembelea Korea Kusini mwishoni mwa wiki .
Facebook Forum