Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amefanya mazungumzo na waziri mkuu wa India Narendra Modi kuhusu mauala ya biashara na ulinzi baina yao. Na Wagombea wa Demokratic wanao wania uteuzi wa kugombea urais katika uchaguzi wa mwaka 2020 kufanyika leo.
Facebook Forum