Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Februari 03, 2023 Local time: 17:34

Mkimbizi atumiaye sanaa kupunguza msongo wa mawazo


Mkimbizi atumiaye sanaa kupunguza msongo wa mawazo
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:29 0:00

Nyamouch Hoth, mkimbizi kutoka Sudan Kusini, ni msanii katika fani ya uchoraji, amekuwa akitumia talanta yake hiyo ili kupunguza msongo wa mawazo kutokana na mambo yaliyomsibu hadi alipofika katika kambi ya wakimbizi ya dadaab baada ya kutoroka vita

XS
SM
MD
LG