Tangu kutangazwa kukamatwa kinara wa matukio ya ubakaji na kujeruhi wanawake mkoani Kigoma, inaelezwa kuwa sasa hali imerudi kuwa shwari japo hofu bado imetanda miongoni mwa wanawake kutokana na wasiwasi kuwa huenda bado kuna washirika wa uhalifu huo katika jamii.
Facebook Forum