Wakimbizi wa kambi ya Dadaab nchini Kenya baadhi ya wakimbizi wanasema hawana sababu ya kuadhimisha siku hii. Wengi wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Daadab walitoroka vita nchini Somalia na walitarajia sana kuhamishiwa mataifa ya magharibi lakini zoezi hilo linaendelea kuwa gumu
Facebook Forum