Duniani Leo June 17th, 2019
Ndani ya Duniani Leo: Jumuiya ya kimataifa inatowa wito kwa viongozi wa kijeshi wa sudan kuanza mazungumzo na upinzani juu ya kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia na Hali ya taharuki bado inaendelea kujitokeza hong kong baada ya maelfu ya watu kuandamana tena jumapili kupinga mswada wa sheria utakaoruhusu wahalifu kuhamishiwa hadi China Bara kuhukumiwa .
Facebook Forum