Jumuiya ya kimataifa inatowa wito kwa viongozi wa kijeshi wa sudan kuanza mazungumzo na upinzani juu ya kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia huku viongozi wa kijeshi wakitowa wito kwa pande zote kurudi kwenye meza ya mazungumzo bila ya masharti yeyote.
Facebook Forum