Ndani ya Duniani Leo: Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Felix Tshsekedi amekamilisha ziara yake nchini Tanzania na Rais Ibrahim Boubacar Keita wa Mali atembelea kijiji cha kati kati ya nchi ambako mauwaji ya halaiki yalitokea ambako karibu watu 90 waliuliwa
Facebook Forum