Wanafunzi Kenya wamevumbua roboti la kugema tembo ya mnazi
Jamii zinazoishi Pwani ya Kenya zinategemea sana Nazi na bidhaa zake. Bila kujali urefu wa mmea huu wakulima huukwea kutunda nazi au kugema mnazi. Shughuli ya kupata bidhaa hizi imesababisha ajali na hata vifo kwa wakweaji. Wanafunzi wa shule moja huko Kenya wamevumbua roboti la kugema tembo ya mnazi.
Facebook Forum