Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 01:52

Wakazi wengi wa Nairobi watembea kwa miguu kwenda kazini


Wakazi wengi wa Nairobi watembea kwa miguu kwenda kazini
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:19 0:00

Takwimu zinaonesha kuwa kwa kila Wakenya 10 katika mji wa nairobi, watano kati yao hutembea kwa miguu kwenda kazini. Hii ni kwa sababu wengi wao hawana uwezo wa kumudu gharama za usafiri au wanakwepa msongamano mkubwa wa magari wakati wa asubuhi

XS
SM
MD
LG