Rais wa Marekani Donald Trump amemshinkiza waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe kumaliza tofauti za kibiashara zilizopo kati ya nchi hizo mbili, na kusema ana furaha jinsi mambo yanavyoenda na Korea kaskazini lakini hana haraka ya kufikia mkataba wa amani.
Facebook Forum