Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 18:40

Duniani Leo May 17, 2019


Duniani Leo May 17, 2019
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Makamu wa rais wa Marekani yuko katika nafasi ya juu miongoni mwa wademokrat wanaowania uteuzi wa kugombea urais mwaka 2020. Ofisi ya maadili ya serikali ya Marekani imesema kuwa biashara za Rais Donald mwaka uliopita zilipata mamilioni ya dola swala ambalo linaibua maswali ya iwapo ni kutokana na faida kutoka kwa maafisa wa serikali na kutoka mataifa ya nje.

XS
SM
MD
LG