No media source currently available
Rias Trump asema wiki hii kwamba ushuru wa Marekani dhidi ya bidhaa za China, utailetea Marekani mabilioni ya dola. Trump asema ushurua wa China kwa bidhaa za Marekani ambao ni wa kulipiza kisasi, hautakuwa na athari zozote kwa uchumi wa Marekani.
Ona maoni
Facebook Forum