No media source currently available
Masoko ya hisa ya marekani na asia yalishuka jana baada ya China kutangaza ushuru mpya kwa bidhaa za marekani zenye thamani ya dola bilioni 60, ikilipiza kisasi ushuru mpya uliotangazwa na Rais Donald Trump kwa bidhaa za China
Ona maoni
Facebook Forum