Mmoja wapo ya waandishi wa fasihi mashuhuri wa afrika na mwanaharakati wa mageuzi ya elimu ya nchi za Afrika, Mkenya Ngugi Wa Thiongo alipokea tunzo ya mafanikio ya maisha yake katika fasihi na utamaduni iliyotolewa na taasisi ya Africa Society hapa Washington dc wiki iliyopita.
Facebook Forum