Wanamuziki mbalimbali wenye asili ya Afrika wamefanya tamasha lilijulikana kwa jina la Coming to Amerika, Davido alikuwa mmoja ya wanamuziki waliotumbuiza kwenye tamasha hilo. Ile albamu ya Lemonade ya Beyonce iliyotamba mwaka 2016 imerudi tena kwenye 200 bora za Billboard.
Facebook Forum