Duniani Leo May 1 2019
Baada ya wananchi wa Venezuela kufanya maandamano ya kumtaka rais Nicolas Maduro kuachia madaraka, jeshi la nchi hiyo limetoa msimamo wake na kuwataka wananchi waache kuandamana haraka iwezekanavyo. Jaji wa Uingereza amemhukumu muanzilishi wa Wikileaks Julian Assenge kifungo cha wiki 50 jela.
Facebook Forum