Wakazi wa jimbo la kaskazini la Cabo Delgardo nchini Msumbiji bado wanaendela kupokea msaada wa uokozi baada ya kimbunga Kenneth kusababisha maafa makubwa, mwezi mmoja tu baada ya kimbunga Idai kutua katika nchi hiyo iliyo kusini mashariki ya bahari mwa hindi.
Facebook Forum