Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 17, 2021 Local time: 04:00

Biashara ya dhahabu ya magendo yaathiri sekta ya madini Afrika.


Biashara ya dhahabu ya magendo yaathiri sekta ya madini Afrika.
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:03 0:00

Habari za uchunguzi iliyoandaliwa na shirika la habari la Reuters, inaeleza data za forodha za umoja wa nchi za kiarabu zinaonyesha biashara ya dhahabu kwa njia ya magendo imeshamiri na kuleta athari kubwa katika sekta ya madini Afrika.

XS
SM
MD
LG