Duniani Leo April 24, 2019
Wadau wa sekta ya biashara kutoka nchi za umoja wa Afrika AU wanakutana Arusha Tanzania kwa mafunzo maalumu ya namna ya kufungua milango ya kibiashara baina za nchi . Waisslamu wa Sri Lanka wanaeleza wasiwasi wa ulipizaji kisasi kutuatia mashambulio ya mabomu yaliotokea siku ya sikuu ya pasaka
Facebook Forum