No media source currently available
Wanawake wamekuwa wakipitia dhumula za aina mbalimbali, hivi karibuni visa vya mauaji dhidi ya wanawake huku serikali ya Kenya ikiwa kimya licha ya wasichana kadhaa kuuawa na . Hali hii imezua mjadala kwa kuwapo usalawa wa wanawake nchini Kenya.