Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 16:39

Ripoti ya Muller yawa gumzo Marekani


Ripoti ya Muller yawa gumzo Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:53 0:00

Wamarekani na bunge hatimae wameiona ripoti ya mwendesha mashitaka maalum Robert Muller kuhusiana na uchunguzi wa miezi 22 juu ya ikiwa Russia ilingilia kati uchaguzi wa rais wa 2016 na kushirikiana na maafisa wa kampeni ya rais Donald Trump.

XS
SM
MD
LG