Korea Kaskazini imemtaka waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo kutoshiriki tena katika mazungumzo yanayohusu program za nyuklia. Ghasia zilizotokea zimegharibu duru ya pili ya uchaguzi katika mji wa Raigani. Polisi walilazimika kutawanya watu waliokuwa wameziba barabara.
Facebook Forum