Duniani Leo April 17, 2019
Waandamanaji wa Sudan wameendelea na maambamano wakitaka viongozi wa kijeshi kuacha madaraka mara moja na kutayarisha njia ya kuwepo utawala wa mpito wa kiraia. Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi awataka wananchi waliokuwa na ugonjwa wa ebola kuwa na imani na wauuguzi.
Facebook Forum