No media source currently available
Kwa mujibu wa katiba ya Marekani, kila mtu ana haki ya kuabudu dini yake hata wafungwa wakiwa gerezani . Nafasi za mkusanyiko wa sala za dini zimekuwa zikifanyika katika baadhi ya magereza nchini Marekani.
Ona maoni
Facebook Forum