Dunia yaendelea kuomboleza kifo cha mwanamuziki wa kufokafoka na mwanaharakati Nipsey Hussle aliyeuawa kwa kupingwa risasi. Janet Jackson atoa wito kwa taasisi ya Rock&roll hall of fame kuwahusisha wanawake zaidi kwenye maswala ya muziki ifikapo 2020
Facebook Forum