No media source currently available
Zaidi ya vijana 97 raia wa Kenya waliojiunga na kundi la kigaidi la Alshabaab wamerejea katika jimbo la Kilifi pwani ya Kenya . Hata hivyo maafisa usalama wanaeleza bado hawajajua nia ya vijana hao.
Ona maoni
Facebook Forum