Zulia Jekundu Episode 219
Lupita Nyong'o na Jordan Peele Wanaendela kutamba kwenye majumba ya sinema kwa filamu yao ya US, pale ilipofanya vyema ofisi za mauzo kwa kuingiza dola milioni 70 kwenye wiki la ufumbuzi. Ni mchango upi wanamuziki wa Afrika walichangia katika muziki wa ulaya, jibu lipo kwenye makala yetu wiki hii.
Matukio
-
Machi 14, 2025Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 27, 2025Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 25, 2025Tunamulika umuhimu wa utunzaji afya ya moyo
-
Februari 07, 2025Ugonjwa wa kifafa na changamoto zake katika jamii.