Bunge la uingereza linapiga kura , kuhusu sehemu ya makubaliano kwa taifa hilo kujiondoa kuotka umoja wa ulaya. Kura ambayo itahusu makumbaliano ya Uingereza kujiondoa na sio tamko tofauti la kisiasa kuhusu mahusiano ya baadaye ya nchini hiyo na umoja wa ulaya.
Facebook Forum