No media source currently available
Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita ameapa kuimarisha usalama wakati alipotembelea kijiji kilichoshambuliwa na wanamgambo walioua zaidi ya watu 160, katika kile kinachoaminika kuwa uhasimu wa kikabila.
Ona maoni
Facebook Forum