Duniani Leo March 26, 2019
Manusura wa kimbunga cha Idai kilichopiga kusini mwa bara la Afrika waanza kupata misaada ya dharura inayojumlisha madawa, chakula na mahema. Chama cha upinzani cha ACT Wazalendo wamesema chama hicho kiliwakilisha ripoti ya ukaguzi kinyume na chama cha usajili cha Tanzania kilivyonukuliwa .
Facebook Forum