No media source currently available
Polisi wa kutuliza ghasia wa Comoros wametawanya maandamano ya upinzani mjini Moroni hii leo, maadamano hayo yalikuwa na lengo kulalamikia jinsi uchaguzi ulivyofanyika katika mazingira ya ghasia na wizi.
Ona maoni
Facebook Forum