Utathmini uharibifu uliofanywa na kimbunga kilichopiga kusini mwa Afrika katika nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe zinaendela huku idadi ya watu waliokufa katika janga hilo kuongezeka. Waziri mkuu wa New Zealand Jacinda Aderms serikali yake itapiga marufuku utumiaji wa silaha nzito
Facebook Forum