No media source currently available
Idadi ya watu waliokufa kutokana na mafuriko yaliotokea kwenye nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe imefika 300, huku waokozi wakiendela kuokoa wananchi walionusurika katika maafa hayo.
Ona maoni
Facebook Forum