Duniani Leo March, 20th 2019
Idadi ya waliokufa katika mafuriko kufuatia kimbunga cha Idai, kilichotokea kwenye nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe imefika 300, na waokoaji wakifanya kila liwezekanalo kuokoa walionusurika. Na waziri wa mambo ya nej wa Marekani Mike Pompeo yuko mashariki ya kati kuzungumzia hali ya usalama.
Facebook Forum