Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:20

Ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines imezua maswali ya usalama wa Boeing 737 Max 8

Ajali ya ndege ya Ethiopian Airlines imezua maswali ya usalama wa Boeing 737 Max 8
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:21 0:00

Ajali ya ndege ya shirika la Ethiopia airlines, Boeing 737 Max 8, mapema jumapili, miezi mitano baada ya ndege kama hiyo kuanguka nchini Indonesia, imezua maswali mengi kuhusu usalama wa aina hiyo ya ndege.

XS
SM
MD
LG