Katika kusherehekea siku hii ambayo kila mwaka umoja wa mataifa huadhimisha kwa kuangalia mafanikio na hata changamoto za wanawake ,Kauli mbiu ya mwaka huu inawapa msukumo wanawake kuwa na fikra mahsusi sawa na wanaume na ubunifu wa kuleta mabadiliko ya maendeleo .
Facebook Forum