Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 24, 2021 Local time: 22:29

Wanawake wengine Kenya wamesherekea siku ya wanawake kwa njia ya maandamano


Wanawake wengine Kenya wamesherekea siku ya wanawake kwa njia ya maandamano
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:24 0:00

Wanawake kote ulimwenguni wanasherehekea siku ya wanawake , ikiwa na kauli mbiu badili fikra kufikia usawa wa kijinsia . wanawake wengine nchini Kenya wamesherekea kwa njia tofauti kushiriki maandamano

XS
SM
MD
LG