Rais wa Marekani Donald Trump anaonekana kujitayarisha kwa vita vipya vya kibiashara, akiwa na mpango wa kumaliza mkataba wa upendeleo unaoifaidhi India kwa kuruhusu India kuingiza Marekani bidhaa zake za gharama ya dola bilioni 5.6 bila kulipishwa ushuru.
Facebook Forum