Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Oktoba 28, 2020 Local time: 03:26

Rais Abdelaziz Bouteflika hatakamilisha mhula kamili wa miaka mitano


Rais Abdelaziz Bouteflika hatakamilisha mhula kamili wa miaka mitano
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:13 0:00

Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ameahidi siku ya Jumapili kwamba hatakamilisha mhula kamili wa miaka mitano akichaguliwa tena wakati wa uchaguzi wa mwezi ujao.

XS
SM
MD
LG