No media source currently available
Takriban watu 22 wamekufa baada ya kimbunga kikali kupiga jimbo la kusini la Alabama Jumapili. Idadi ya vifo inaweza kuongezeka wakati kundi la uokozi likiendelea kutafuta mabaki.
Ona maoni
Facebook Forum