Ushindani wa kibiashara katika mataifa ya Afrika Mashariki hauleti natija kwa wafanyi biashara wadogo wadogo nchini Kenya, wanaohisi kusalitiwa na makubaliano ya soko huru ndani ya jumuia ya Afrika Mashariki. Wanasema tatizo moja ni ongezeko la bidhaa nyingi kutoka mataifa jirani
Facebook Forum