Michael Cohen Mwanasheria wa zamani wa rais wa marekani Donald Trump, atafika kwenye kamati ya bunge katika baraza la wawakilishi kutoa maelezo na kujibu maswali ambayo yanahusu biashara za Trump pamoja na jinsi alivyoshughulika na kampeni ya urais ya mwaka 2016.
Facebook Forum